NI MCHANGANYIKO WA CHLORANTRANILIPROLE 9% NA EMAMECTIN BENZOATE 2.6% HUDHIBITI WADUDU WACHIMBAJI MAJANI YA NYANYA, VIPEKECHA SHINA KWENYE MAHINDI. MEALY BUG NA ALPHID, LEAF ROLLER KWENYE MPUNGA.
CHLORANTRANILIPROLE:
HUFANYA KAZI KWA KUAMSHA VIPOKEZI VYA RYANODINE KWENYE MISULI YA WADUDU, AMBAYO HUVURUGA UTENDAJI WA KAWAIDA WA MISULI, NA KUSABABISHA KUPOOZA, KUACHA KULA, NA HATIMAYE KUFA KWA MDUDU.
EMAMECTIN BENZOATE:
PIA HUSABABISHA KUPOOZA KWA KUVURUGA MFUMO WA NEVA.
It is a mixture of Chlorantraniliprole 9% and Emamectin Benzoate 2.6%, effective in controlling tomato leaf miners, maize stem borers, mealy bugs, aphids, and leaf rollers in rice.
CHLORANTRANILIPROLE:
Acts by activating ryanodine receptors in insect muscles, which disrupts normal muscle function, causing paralysis, cessation of feeding, and eventually death of the insect.
EMAMECTIN BENZOATE:
Also causes paralysis by disrupting the insect's nervous system.