NI KIUA DUDU KWA WADUDU WA KUNDI LA PYRETHROID, AMBAYO INA UWEZO WA KUUWA WADUDU KWÁ NJIA YA SUMU YA TUMBO NA KWA KUGUSANA.
INA UFANISI WA JUU WA KIBAOLOJIA NA KASI KUBWA YA KUUWA WADUDU.
INAFANYA KAZI KWENYE MFUMO WA NEVA WA WADUDU.
WADUDU WANAPOGUSANA NA RUDDER, WANAPATA MSISIMKO KUPITA KIASI, KUPOOZA NA KUFA.
INA UFANISI MZURI WA KUDBITI VIDUKARI NA INZI WEUPE KWENYE UFUTA, BIRINGANYA, MATANGO.
It is an insecticide belonging to the Pyrethroid group, which has the ability to kill insects through stomach poisoning and contact action.
It has high biological effectiveness and a fast action in killing insects.
It works on the insect’s nervous system.
When insects come into contact with RUDDER, they experience excessive stimulation, leading to paralysis and death.
It is highly effective in controlling aphids and whiteflies on sesame, eggplants, and cucumbers.