MAELEZO YA BIDHAA
HONOR-FUNGUS INA UWEZO WA KULINDA NA KUTIBU MAZAO DHIDI YA MAGONJWA MBALIMBALI YA FANGASI, YANAYOATHIRI MAZAO MUHIMU KAMA MAHARAGE, MPUNGA, NA VIAZI VITAMU. BIDHAA HII HUSAIDIA MIMEA YAKO KUBAKI NA AFYA NJEMA NA KUONGEZA TIJA.
NI BORA ZAIDI KATIKA KUZUIA:
MADOA YA MAJANI (LEAF SPOTS) KWENYE VIAZI VITAMU
MLIPUKO WA MPUNGA (RICE BLAST) NA SMUT BANDIA (FALSE SMUT) KWENYE MPUNGA
MADOA YA MAJANI YENYE PEMBE (ANGULAR LEAF SPOT) KWENYE MAHARAGE
PRODUCT DESCRIPTION:
HONOR-FUNGUS has the ability to protect and treat crops against various fungal diseases that affect important crops such as beans, rice, and sweet potatoes.
This product helps your plants stay healthy and increases productivity.
IT IS MOST EFFECTIVE IN PREVENTING:
Leaf spots on sweet potatoes
Rice blast and false smut in rice
Angular leaf spot on beans