RICE PUNDIT

  • Product details
  • MAELEZO YA BIDHAA

    DAWA HII IMEUNDWA MAHUSUSI KWA SHAMBA LA MPUNGA LILLOPANDWA.NA INAFAA SANA KUTUMIKA KATI YA SIKU 10-14 BAADA YA KUPANDA MPUNGA ILI KUUA MAGUGU.

    PRETILACHLOR:

    INAFANYA KAZI NZURI DHIDI YA MAGUGU YA NYASI (KAMA VILE ULELE)KATIKA SHAMBA LA MCHELE, NA HUZUIA UKUAJI WA MAGUGU HARAKA.

    BENSULFURON-METHYL:

    INAUA MAGUGU MADOGO YA MAJANI MAPANA NA MAGUGU YA MAJANIYA MA]I (SHASA), HIVYO DAWA HII NI BORA ZAIDI KULIKO ILE YA PRETILACHLOR PEKEE.

    DAWA HII INAFAA KUTUMIKA BAADA YA KUPANDA MCHELE,HASA KATIKA KIPINDI CHA SIKU 10-14 BAADA YA KUPANDA NA INAWEZA KUZUIA MAGUGU YASIKUE.

    PRODUCT DESCRIPTION:

    This herbicide is specially formulated for transplanted rice fields. It is highly effective when applied 10–14 days after planting to control weeds.

    Pretilachlor:
    Effectively targets grassy weeds (such as Eleusine or goosegrass) in rice fields and quickly prevents further weed growth.

    Bensulfuron-Methyl:
    Kills small broadleaf weeds and aquatic weeds (Sedges), making this combination more effective than using Pretilachlor alone.

    This product should be applied after planting rice, ideally between 10 to 14 days, to effectively prevent weed development.

    MAELEZO YA BIDHAA