RiceLin 30WP

  • Product details
  • MAELEZO YA BIDHAA

    DAWA HII NI YA KUUA MAGUGU KATIKA MASHAMBA YA MPUNGA, NA INAFAA SANA KWA KUUA MAGUGU YA NYASI ZENYE MAJANI MAKALI, MAGUGU YA MAJANI MAPANA, NA MAGUGU YA SEDGES(MAGUGU YA JAMI YA CYPERUS)

    BISPYRIBAC-SODIUM:

    HUFANYA KAZI VIZURI DHIDI YA MAGUGU YA NYASI KAMA ULELE, NA HUTOA MATOKEO YA HARAKA NA YA KUDUMU.

    PYRAZOSULFURON-ETHYL:

    INAUA MAGUGU YA MAJAI NMAPANA KAMA MBARIKA NA MAJANI YA PORIN. PIA HUUA MAGUGU YA SEDGES.TUMIA DAWA HII WAKATI MAGUGU NI MADOGO ILI KUPATA MATOKEO BORA ZAIDI.

    PRODUCT DESCRIPTION:

    This herbicide is used to control weeds in rice fields. It is highly effective against sharp-leaved grasses, broadleaf weeds, and sedges (weeds from the Cyperus family).

    Bispyribac-Sodium:
    Works effectively against grassy weeds such as Eleusine (goosegrass), delivering fast and long-lasting results.

    Pyrazosulfuron-Ethyl:
    Kills broadleaf weeds like Amaranthus and wild leafy plants. It also eliminates sedges. For best results, apply this product when the weeds are still young.

    MAELEZO YA BIDHAA