MAELEZO YA BIDHAA
NI KIUA GUGU MADHUBUTI CHENYE WIGO MPANA WA KUANGAMIZA MAGUGU YA NYASI NA MAGUGU MAPANA KWA HARAKA,NA KUSAFISHA SHAMBA KABLA YA KUPANDA MAZAO.
HUFANYA KAZI KWA MGUSO NA HUUA SEHEMU ZA JUU ZA MAGUGU NDANI YA MUDA MFUPI(SIKU 1-2).
HUTUMIKA KUTHIBITI MAGUGU KWENYE MASHAMBA YA KATANI, MAHINDI.MATUNDA, MIWA, KOKOA N.K.
PRODUCT DESCRIPTION:
This is a highly effective broad-spectrum herbicide that quickly eliminates both grasses and broadleaf weeds, making it ideal for clearing fields before planting crops.
It works by contact and destroys the upper parts of the weeds within a short period (1–2 days).
It is used to control weeds in fields of sisal, maize, fruits, sugarcane, cocoa, etc.