MAELEZO YA BIDHAA
HII NI DAWA YA KUUA MAGUGU AMBAYO HUFANYA KAZI KWENYE MAGUGU YA MAJANI MAPANA(KAMA MBARIKA, MAJANI PORI) NA MAGUGU YA NUTGRASS/CYPERUS(SAPI).HAIHARIBU MAZAO KAMA MAHINDI, MPUNGA, NGANO NA MIWA-NI SALAMA KWA MAZAO HAYO KAMA UTATUMIA VIZURI.
DAWA HUFYONZWA KUPITIA MAJANI YA MAGUGU, NA BAADA YA SIKU CHACHE HUANZA KUNYAUKA HADI KUFA.
PRODUCT DESCRIPTION:
This is a herbicide that targets broadleaf weeds (such as Amaranthus and wild leafy plants) and nutgrass/sedge weeds (Cyperus spp.). It does not harm crops like maize, rice, wheat, and sugarcane—it's safe for these crops when used correctly.
The herbicide is absorbed through the leaves of the weeds, and within a few days, the weeds begin to wither and die.